musicas.mus.br
Letras de músicas - letra de música - letra da música - letras e cifras - letras traduzidas - letra traduzida - lyrics - paroles - lyric - canciones - ZUWENA - DIAMOND PLATNUMZ - música e letra
Utilize o abecedário abaixo para abrir as páginas de letras dos artistas
Zuwena letra
mnh!
habari gani kaka naamini unanisikia
mi mzima wa afya mama mungu anasaidia
toka ulipotuacha mahututi anazidiwa
bibi presha presha nae akatangulia
bado twakuombea ulale salama pema
japo moyoni nna dukuduku
natamani kusema, niseme eeh
zile mali wosia ulizotuhusia tuligawa salama
zuwena zote tukampatia tusiwe ndugu lawama
ila zuwena kaka, amebadilika sana
yani shem lake bi zuuh wa leo
sio yule wa jana
natamani ungemuona (zuwena)
japo ungemuona (zuwena)
kidogo tu ungemuona (zuwena)
ungemuoona (zuwena)
oh ungemuona (zuwena)
ahh zuwena (zuwena)
oh ungemuonaa (zuwena)
zuwena oh
mmh zuwena sasa kawa chotara
sio tena cheusi mangara
ngozi kaichubua awe muzungu
anavuta na sigara
mara boko, mwananyamala
anachezesha tu miamala
kutwa anaisugua kipepe rungu
tena peku bila ndala
zuwena skuizi anabandika kope (zuwena)
zuwena mipasuo kama yote (zuwena)
oooh zuwena, lipa shika tuondoke (zuwena)
ahh zuwena wanamuita chawote ooh ooh
juzi kabebwa kwa jirani ata hajitambui (zuwena)
yani kalewa tafarani kautwika mbwii (zuwena)
zuwena sio tena wa ibada na dini
sadaka chenji asaidie
skuizi kageuka pedeshee wa mjini
kutunza bendi wamsifie
na lile gari lako urithi wa babu
la kulishia ng'ombe
skuizi kama kwato kwenye vilabu
linabebea pombe
mama tete kitandani hawezi ata kutembea
zuwena ameshindwa ata kuja kumuona
panadol kumletea
natamani ungemuona (zuwena)
japo ungemuona (zuwena)
kidogo tu ungemuona (zuwena)
ungemuoona (zuwena)
oh ungemuona (zuwena)
ahh zuwena (zuwena)
oh ungemuona (zuwena)
zuwena oh
skuizi kataradadi anadanga
anakula ndizi kwa maganda
anajiita j lo, anadanga
anakula ndizi kwa maganda
eti mzungu mweusi anadanga
anakula ndizi kwa maganda
na anatunyoosha baba anadanga
anakula ndizi kwa maganda
Diamond Platnumz - Letras
- Acha Nikae Kimya
- Achii (feat. Koffi Olamide)
- African Beauty
- Amanda (feat. Jah Prayzah)
- Baba Lao
- Baikoko
- Baila
- Berna Reloaded (feat. Flavour & Fally Ipupa)
- Binadam
- Bum Bum (feat. Iyanya)
- Chacun pour soi (feat. Papa Wemba)
- Cheche (feat. Zuchu)
- Eneka
- Far Away (feat. Vanessa Mdee)
- Fire (feat. Tiwa Savage)
- Fresh (feat. Costa Titch, Pabi Cooper & Focalistic)
- Gere (feat. Tanasha Donna)
- Hallelujah (feat. Morgan Heritage)
- Haunisumbui
- Holiday
- I Miss You
- Inama
- Iyena (feat. Rayvanny)
- IYO (feat. Mapara A Jazz, Ntosh Gaz & Focalistic)
- Jeje
- Kachiri (feat. King 98)
- Kama Wengine (feat. D Voice)
- Kamata
- Kamwambie
- Kanyaga
- Karibu (feat. Mbosso)
- Katam (feat. Bien)
- Kesho
- KIDOGO (feat. P'square)
- Kolo Kolo
- Komasava (Comment Ça Va) (Remix) (feat. Jason Derulo, Khalil Harrison & Chley)
- Kosa Langu
- Kuna
- Kwangwaru (feat. Harmonize)
- Kwanini
- Lala Salama
- Litawachoma (feat. Zuchu)
- Magufuli Baba Lao
- Make Me Sing
- Mapenzi Basi
- Marry You (feat. Ne-Yo)
- Mawazo
- Mbagala
- Mdogo Mdogo
- Moyo
- Moyo Wangu
- Msumari
- Mtasubiri (feat. Zuchu)
- My Baby
- Naanzaje
- Nalia na Mengi
- Nana (feat. Flavour)
- Nasema Nawe (feat. Khadija Kopa)
- Nataka kulewa
- Niache
- Nikuone
- Nimpende Nani
- Nitarejea
- Ntampata Wapi
- Number One
- Number One (remix) (feat. Davido)
- Oka (feat. Mbosso)
- Ongeza
- Pamela (feat. Young Killer)
- Penseli
- Pounds & Dollars
- Quarantine (feat. WCB Wasafi, Zuchu, Queen Darleen, Lava Lava, Mbosso, Rayvanny)
- Sadari (feat. Harmonize)
- Salama
- Salome
- Sijaona
- Sikomi
- Simba
- Sound (feat. Teni)
- Tetema (feat. Rayvanny)
- The One
- Toka Mwanzo (feat. Fatma & Romy Jones)
- Ukimwona
- Upofu
- Utanipenda
- Waah (feat. Koffi Olamide)
- Waka (feat. Rick Ross)
- Wonder
- Yataniua (feat. Mbosso)
- Yatapita
- Zilipendwa (feat. Harmonize, Rich Mavoko, Rayvanny)
- Zuwena
top 30 músicas
©2003 - 2026 - musicas.mus.br